Niko hapa my nilikusubiri sana njoo tuyajenge!Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.
Ningekuwa nacho ningeshikashika xn ulichonacho
kwani umri una nini? acha kudanganya wasichana!Yaleyale oh bado nasoma haya sasa umri huo si wataka wagane ww
Achana na hayo yalishapita
Tuchekiane pmHabari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na kuendelea. Awe na kipato. Awe tayari kusaidiana maisha. Nipo serious mno sihitaji masihara.