Natafuta mchumba wa kiume

Nicheki in box
 
Yes ndoa hufungwa na mungu na mungu tu ndie hutenganisha si binadamu. ...believe me tumetenganishwa na mungu. Tumsifu yesu kristu
Hivi kama mlitenganishwa na Mungu na ni nani aliwaunganisha mwanzo?
 
Watu wengine cjui mkoje mwezenu yuko serious ninyi mnaleta upuzi na upumbavu kama haziwausu kwanini msipite tu bila comments za kipuzi!! Muwe na hekima na busara katika kuandika kwenu na muache utoto!
 
mm mkulima wa bustan km ntakufaa nfate whatsap 0752391574 npo kibaha
 
Jamani kwa heshima na taadhima. Naomba msiniletee masihara PM. Mimi sihitaji mtu wa kuchat nae wala mpenzi wa kupass time. Jamani kama
Umemkata stimu zote hahaha.
Huwa sikatwi stimu kirahisi hivyo maana nayaweza yote katika yeye anitia nguvu
 
NATA said:
Mh pole dada unamatatizo gani hadi umekuwa simulizi kwa kila mwanamke anayekuwa na mumeo? Mh na hao wake za watu wanaotembea na waume za watu wanamatatizo na maspinster waende wapi?

ayanda replied:
wote tutajibana kwa waume za watu wangu! kinachonikera watu hawajui kula kimya kimya! kushare muhimu, cha msingi kimya kimya.

[emoji115][emoji115][emoji115] Kwa mentality hii ya kuona sawa kugegedwa nje ya ndoa, tafuta tu sexmate, you dont deserve a husband, woman.
 
Kwa umri huo anza plan b haraka maana umri unakuacha karibia unafikia ukomo wa kuzaa. Ni bora kuwa single mother na kama una kazi na ukiwa na mtoto hakuna shida. Tafuta kuzaa.
 
[emoji115][emoji115][emoji115] Kwa mentality hii ya kuona sawa kugegedwa nje ya ndoa, tafuta tu sexmate, you dont deserve a husband, woman.
Kipimo utakachotumia kuhumu wengine ndicho hicho kitakachotumika kukuhukumu wewe siku ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…