Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Lukende

Member
Joined
Jul 22, 2017
Posts
8
Reaction score
12
Hi jamani,

Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;

Awe mrefu wastani kuanzia foot 5-6.

Awe amesoma angalau had fom four

Awe ameajiliwa au anejiajiri sawa tu

Awe mkweli na mwenye busara.
 
Miaka 20 unatafuta mchumba. Kuwa mvumilivu watakufuata tuu
 
halafu mtoto mbichi kabisa me na uzee huu nikiweka tangazo hapa naddhani mtaandamana sababu nitaomba uje na attachment ya bank statement na ole wako utengeneze fake
hahahahahahaahahahaha, au aje na andiko kabisa la kuonesha mtiririko wa biashara zake hahahah, ila wewe basi tu! hahahaha
 
Wanaume sasa tunatafutwa kwa Tochi.....mchumba utapata Marry ila wengi watakuwa ni Wachumba/waume za watu/wa peke yako hakuna miaka 20 kuwa mke wapili kwa kujitakia sio jambo baya..kwa nini usisubiri wachumba wakutafute wewe?
 
Utangaze kwani unakasoro gani? chema cha jiuza kibaya chajitembeza, kama mtoto amesimamia kucha kisha mtoto katulia yeye anakaa anachagua nani amuoe.
naona kapata wasi wasi mapema labda kuna tatizo
 
Hivi hawa wanawake wanao tafuta wakuolewa nao kwenye media huwa wanafugika kweli. By the way hakunaga mwanaume wa kuona naona hiyo yaani direct tu. Mambo yanaanza kwenye upenzi kwanza ( girl friend boy friend) kisha mnakuja stage ya uchumba ndo ndoa inakuja. stage ngumu sana ni ya pili. ukimaliza hiyo vizuri ndoa hiyooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…