Natafuta mchumba wa kunioa

Natafuta mchumba wa kunioa

happyxxx

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2020
Posts
604
Reaction score
1,970
Hello everyone,

Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.

sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.

sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.

kwa mawasiliano zaidi njoo pm.

only kwa walio serious.
 
Wenye watoto na waliowahi kuoa hatuna nafasi hapa.

Ikifika 29/30 itakuwa yeyote.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hello everyone,

Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.

sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.

sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.

kwa mawasiliano zaidi njoo pm.

only kwa walio serious.

All the best;

1. Eleilkeza nguvu unaposali
 
Hapo kwenye uongo uongo utakwama tu. Labda utoe hicho kigezo
 
Asiwe muongo muongo utawezaje kumgundua kuwa ni muongo?mtangulize Mungu ili akujalie upate mume mwema kinyume cha hapo usitegemee muujiza...
 
Back
Top Bottom