Wenye watoto na waliowahi kuoa hatuna nafasi hapa.Hello everyone,
Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.
sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.
sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.
kwa mawasiliano zaidi njoo pm.
only kwa walio serious.
Acha mbwembwe zama pm ung'oke na mke 😁😁😁😁😁Kwenye elimu ya chuo ungesema chuo level gani maana sikuhizi hata madrasa wanaita chuo.
Hello everyone,
Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.
sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.
sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.
kwa mawasiliano zaidi njoo pm.
only kwa walio serious.
Unaeza kufikiri mtu ana diploma au degree kumbe kasoma juzuu tatu madrasa. 😀😀😀Acha mbwembwe zama pm ung'oke na mke 😁😁😁😁😁
Hapo kwenye uongo uongo utakwama tu. Labda utoe hicho kigezoHello everyone,
Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha.
sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri.
sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe amewai kuoa, awena kazi au shughuli yoyote ya kujiingizia kipato, asiwe muongo muongo.
kwa mawasiliano zaidi njoo pm.
only kwa walio serious.
Kwenye elimu ya chuo ungesema chuo level gani maana sikuhizi hata madrasa wanaita chuo.