Natafuta mchumba wa kuo wajameni

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
natafuta mchumba(mwanamke) wa kuo na awe na vigezo vifutavyo
1. elimu si muhimu sana
2.kabila nalo c muhumu hata kidogo
3. umuri nao ni muhimu sana 19-26
4. Heshima ni kitu mihimu kuliko vyote
5. Dini nayo si muhimu sana ingawa mimi ni mkristo
MIMI NIKO a town au Arusha

Hii ni sereasi wakuu na si jikong so kama huhusiki na hii thread ni muhimu ukaiacha kama ilivyo kuliko kuchangia vitu vya ajabu hapa, au kama unamchango basi uwe ni mchango wa kujenga na sio kukebehi
 
nina staff mwenzangu hapa anatamani kuolewa,lakini nilipomtajia kuwa SATAN anatafuta mke aliguna....na kuogopa sana....eti anaogopa kuitwa MRS SATAN...........Nakutakia kila la kheri.
 
hapo kwenye red navyo ni vigezo?
 
JF imevamiwa mpaka na mashetani.

huwezi kujiita jina la kitu usichokipenda!
 
Kacopy specifications za mke anaemwitaji.... Lol
 
Hii thread imepost nipo around class 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…