Natafuta Mchumba wa kuoa, asiwe anatumia pombe na sigara

Revocatus junior 93

Senior Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
167
Reaction score
325
Naitwa X, ninahitaji mchumba wa kuoa. Nina bachelor degree, sijaajiriwa bado ila nafanya biashara. Mimi ni Mkristo kwa imani,nina miaka 29.

Vigezo vya mtu ninayemhitaji
Elimu: kidato cha 4 hadi chuo kikuu.
Umri: 22-27.
Dini: Mkristo.
Asiwe anatumia pombe,sigara etc...
Ambaye yuko interested na ana uhitaji anicheki DM
Ninaishi Dar.
 
Sema na kipato chako kabisa,, kwa mwezi unalazi Million ngapi ? Vipi nyumba na gari ?
 
Akiwa anaongoza 1 -0 au 2 -0, anaweza sajiliwa na wewe?, nakutakia kila la heri.

Karibu kikaangoni 😭😭
 
Akiwa anaongoza 1 -0 au 2 -0, anaweza sajiliwa na wewe?, nakutakia kila la heri.

Karibu kikaangoni 😭😭
Mkuu, ebu acha kuwatisha vijana....
Kama ndoa inakuumiza siutoke...!!
Mkuu, kama hauifurahii ndoa nakushauri uachike tu. Ndoa isio na furaha ni sumu zaidi ya jela aiseeee...πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…