Samahan mkuu kwani kuna kosa lolote mtu kuishi mkoani ?? sisi tulio mikoani hatuna haki ya kupata wapenz wa JF?Usidhani wanawake hawajauona huu uzi wako, bali nadhani hii imesababishwa na
1. kibamia
2.Kazi ya ualimu haina hela
3.unaishi mkoani
..........................
Usishindane na nature, hakuna asiyependa vitu vizuriSamahan mkuu kwani kuna kosa lolote mtu kuishi mkoani ?? sisi tulio mikoani hatuna haki ya kupata wapenz wa JF?
Sikubaliani na wewe hata hao wenye vitu vizuri vya kuvutia wanawake bado wanasalitiwa na kumegewa kila sikuUsishindane na nature, hakuna asiyependa vitu vizuri
Kwa hiyo mkuu unatushaurije tunaotegemea kuweka mabandiko ya kuvua vikitchen humu!Du hii ni Kali wanawake wa kuoa hawapatikani kwa njia kama hii utapata wa kula bata nao tu si wa kufunga ndoa nao zaidi ya hapo komaa kumuomba Mungu wako tu yeye ndo anajua akupe mke yupi
Duuh kibamia!!!!!!!?Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na mimi ambe atavumilia hali yangu ya kibamia nilicho nacho aliye tayar aje pm
[HASHTAG]#mwalimukipepesamacho[/HASHTAG]
Kuishi Jijini ni moja kati ya kigezo kuntu cha kuulainisha moyo wa demSikubaliani na wewe hata hao wenye vitu vizuri vya kuvutia wanawake bado wanasalitiwa na kumegewa kila siku
By the way hata watu wa mikoani wana hivyo vitu vizuri unavovisema
njoo inbox mayaMimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na mimi ambe atavumilia hali yangu ya kibamia nilicho nacho aliye tayar aje pm
[HASHTAG]#mwalimukipepesamacho[/HASHTAG]
Na kibamia alfUsishindane na nature, hakuna asiyependa vitu vizuri
AiseeNa kibamia alf