Natafuta mchumba wa kuoa

Vin nobel

Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
26
Reaction score
14
Awe msichana wa miaka 18-24, awe msomi walau kuanzia kidato cha sita, mcha Mungu na mwembamba,maji ya kunde au mweupe, na Mwenye mapenzi ya kweli na Mwenye mtazamo chanya wa maendeleo. Mi ni mwanaume ninaefanya kazi na nina miaka 26, kwa alietayari asisite kuni inbox kwa kujuana zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…