NATAFUTA MCHUMBA WA KUOA

mjizu123

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
349
Reaction score
369
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata PM tukapeana muongozo asanten
 
Sidhani kama hii ni sehemu sahihi kwa kutafuta mtu huyo alafu umeandika kwa Ku generalize sana kitu ambacho kinatia MASHAKA

Kama kweli ulikuwa upo Serious lazima ungeweka vigezo vya umuhimu kama Dini ,Rangi,Nasaba ,uzuri walau vigezo ambavyo vitaonyesha una muelekeo wa kutafuta mtu fulani
 
Mimi ni kinaja wa miaka 29 naishi arusha tz najishuhulisha na kazi za kitalii sasa naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzi miaka 18 hadi 26 na nipo siriasi kwelikweli na alie tayari unaweza nifata PM tukapeana muongozo asanten
Mchukue Wema nadhani atakufaa
 
Ayo yote nitamwambia yeye atakapo fika pm sasa nikiaza kujiweka kila kitu uwenda nikawapoteza wengi au wakaja wengi kwasababu ya maelezo yangu /naitaji mke
 
POLE sna ndgu ww unafanya kazi za kitalii unazunguka sna maeneo mbali mbali umeshndwa kumpata mke kweli? au unataka mke mwenye pesa sbb weng wanaamini jf watu wote ni wasomi na matajiri.ok kila la kheri
 
Nakushauri nenda Shivaz,Pin point kuna wengi sana tena bikra,watakufaa sana.
Vipi low season yote hii unatafuta mwanamke,au ulipiga sana tip msimu uliopita??
Kila la heri!
 
Nilitaraji huu uzi nione comments nyingi za wanawake, maajabu wengi wanaume ndio wana challenge mwanaume mwenzao! [emoji2]
 
dah..nimekosa hii opportunity jaman..kigezo cha "umli"nimeanguka..mkuu huwez vutavuta had 40yrs hv😤😩😬
 
Ww haupo serious ninavyojua Aliekua serious yupo mtaan anasimamisha wanawake kama trafic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…