Natafuta mchumba wa kuoa

Dadiyo

New Member
Joined
Aug 11, 2018
Posts
2
Reaction score
2
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30.
Kwa maelezo zaidi nitafute DM.
 
Kumbe tupo wengi?
Ukipata wengi namimi unipe moja.
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30.
Kwa maelezo zaidi nitafute DM.
 
Unapotafuta mke halafu unaweka vigezo vya dini sio vizuri.
Mimi sina ubaguzi wa dini. Ila tu awe mcha Mungu
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 35, msomi mzuri.natafuta mchumba wa kuoa,awe ni muislam kwa dini na mwenye kuheshimu dini. awe mrefu na mweupe.umri usiozidi miaka 30.
Kwa maelezo zaidi nitafute DM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…