Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

Evanjoman

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu
kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina
elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka.
Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa
kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba tujuane
ukiwa tayari. Kiswahili changu kisiwe shida.
usiwe na tabia ya kuchezea watu ndo uje
kwangu. There tayari kutambulisha na kwa
wazazi. Email yangu ni emickbee@gmail. com
Nakusubiri
 
Mpendwa Ktk Bwana, Hapo kanisani hakuna kabinti kenye sifa unazohitaji? mi naona huko ndiko utapata mke mwema kama sio basi kuwa na subira maana mungu bado ajakufunulia mke mwema.
 
Kweni mchumba kawaida anakuwa wanini, maana naona huyu kaka anataka wa kuoa
 
Back
Top Bottom