Natafuta mchumba wa kuoa

Natafuta mchumba wa kuoa

K47

Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
6
Reaction score
0
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali

Kama interested ni PM nitakutafuta
 
Semeni wazi anakuwa mke wangapi acheni shotikati mkawaumiza mioyo watoto wa watu kumbe ndo anamalizia list aka beki4
 
Semeni wazi anakuwa mke wangapi acheni shotikati mkawaumiza mioyo watoto wa watu kumbe ndo anamalizia list aka beki4

Ndugu mi naoa mmoja tu...na ndo wakwanza huyo na wa mwisho kama mungu akipenda...Sema tu nilijisahau nikakomalia masomo nikasau upande wa pili..
 
futa mchumba (binti)..awe muislam...mwembamba na mrefu. Awe na maadili ya kiislam, akiwa na elimu kidogo ni vyema zaidi.
Mimi nina masters na nafanya kazi wa tahasisi ya serikali

Kama interested ni PM nitakutafuta
Mkuu sijafurahia jinsi ulivyoandika hiyo sentensi ukilinganisha na kiwango chako!! Anyway, kila la kheri.
 
Mkuu sijafurahia jinsi ulivyoandika hiyo sentensi ukilinganisha na kiwango chako!! Anyway, kila la kheri.

Dah sikushtukia kama nimekosea kihivyo...but naona kama hili tatizo la kukosea ni kubwa sana kwani nikitembelea post za watu nyingi zimekosewa..
Hapo elimu hai-apply sana mkuu ni makosa ya kibinadamu tu
 
Back
Top Bottom