Natafuta mchumba wa kuoa

bkubwa

Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
17
Reaction score
0
habari members natafuta mchumba wa kike umri usidi miaka 30 awe msomi wa chuo kikuu na mwajiliwa/anafanya kaz mwenye tabia za kupendeza na mkristo mim nafanya kazi serikalini 0779971855
 
kabila na rangi si kigezo cha muhimu ni tabia njema na mucha mungu
 
mi nakushauri usiwe mbaguzi katika dini, unaweza mpata mwenye dini sawa na wewe lakini interest zikatofautiana hadi hiyo ndoa yenyewe ukaiona chungu. cha msingi ni kumpata atakaye kupenda kwa dhati na kuishi na wewe kwenye shida na raha. halafu mambo ya dini mtayajadili baadaye,
 
Unatafuta mchumba wa kike, lakini wewe hujataja umri wako na jinsia yako, au mnataka mkasagane, ujasema elimu yako weight and height usije pata tall tipwatipwa kumbe wewe emoro chembambaa. Au isije ikawa wewe tall ukapata katoto short alafu dushelele lisotoshee.
Kwa msaada zaiidu weka picha yako hapa.
 
mim ni mwanaume mnene kiasi na mweupe kiasi mrefu kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…