Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Ili usiangukie pua omba toba kwa kutoka na mume wa mtu,ondoa vigezo vyako vya kibinadamu vya mume unaemtaka na acha kutafuta mchumba kupitia mitandao hii,miaka 25 unatosha kujua mume anatafutwaje acha ushetani wa kutoa sifa za mume usiyemjua,maana mpaka unaandika hapa ni MUNGU pekee ndo anaemjua mumeo,hakumuumba afae kwa vigezo vya akili yako
 
Nina vigezo vyote ila tatizo hayo matusi ulitapika humu ngumu kumeza.
Ila usijali wapo wenye mioyo migumu utapata tu
Hahahahahahaaahahahaaaaaaaaaaaa
Humu ndani hamfai ķabisa sasa hapo katukana au ni vìgezo vyake.
 

Hivi vyuoni sasa hivi degree wanawapeni kwa vigezo gani, au na wewe ni former St. Joseph, yaani ujue mimi siwaeleweni kabisa ninyi kina dada, au mlipokuwa vyuoni kazi yenu ilikuwa ni ku-date na IT ili wawape GPA? Mna-bore sana siyo siri, hiyo degree uliyonayo nahisi ni degree ya kwenye thermometre.
 
Huwezi kumpata mwanaume mwenye vigezo Vyote hivyo
 
come PM
 
Nakupataje sasa nijaribu bahati yangu???
 
niny what about the man having more money? Suck my dick.
 
Kweli uko serious au ndiyo mwisho wa umakini wako
 
Kweli watu hatuelewi kamwe
Aliyezoea mume wa mtu kamwe huwezi muoa ukiwa huna mke,

Kiufupi dada umekosa sifa zote za kuwa mke wa mtu ambaye ndo anaanza maisha

Na kwa sifa ulizonazo kamwe na unazozitaka mwanaume huyo bado hajapatikana aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…