Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

mimi natafuta demu kicheche demu aliye shindikana
Hahahhaha umenikumbusha wakati nipo benki fulani K'njaro kama afisa mikopo mwanangu mmoja alitakaga demu wa namna hiyo akampata kitoto kizuri kinaitwa Vee hahahah mbona aliimba haleluyah.....mpaka nikamwambia jombaa hapo mpira lazima otherwise utaenda na umeme acha uboya ila pana totoz pasua kichwa..sasa ngoja upate kurumbembe wewe naona utaimba hosana hosana....!!
 
uyo akupata kicheche demu alie shindikana deme alie waikutoa mimba pindi nikitaka kumpiga chini anibembeleze nisimwache natena anililie,
alikua nwanafunzi nn uyo demu
 
We unafanya kazi gan
 
uyo akupata kicheche demu alie shindikana deme alie waikutoa mimba pindi nikitaka kumpiga chini anibembeleze nisimwache natena anililie,
alikua nwanafunzi nn uyo demu
Alikuwa mwanafunzi wa chuo cha ushirika moshi yaani alikuwa moto hatari.
ila pana wasichana wazuri jamani daaah......!
 
Jitahidi kumuacha mume wa mwenzio na utubu ili Mungu akupatie mumeo, la sivyo utapata mume lakini atakuja binti mrembo nae atafanya kama wewe ulivyoanzisha mahusiano na mume wa mtu

Bahati nzuri wewe ni mkristo, Biblia inatiambia ndoa na iheshimiwe na watu wote, sijui unapata wapi ujasiri wa kutembea na mume wa mtu binti mdogo kama wewe

Nakutakia kila la kheri
 
Mapenzi ya mitandaoni yana maswahibu yake
 
Mhhhh hivi vigezo kama unaomba mkopo bodi
 
nina wasiwasi na hio id huenda akawa ni msela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…