Natafuta mchumba Wa ndoa baadae

Mke mwema hatafutwi kwenye mitandao ya kijamii.Piga goti omba Mungu sana utampata.Ila kama unataka kichomi endelea kutafuta uku.
 
Mke anapatikana kokote mkuu, hata utakae omba kwa Mungu haitatokea asubuhi moja unamkuta chumbani halafu unaskia sauti kutoka mbinguni "huyu ndye mke ulie omba" mawazo mgando weng hudhan mke/mme mwema utampatia kanisan2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke mwema hatafutwi kwenye mitandao ya kijamii.Piga goti omba Mungu sana utampata.Ila kama unataka kichomi endelea kutafuta uku.
Kwa mtazamo Na experience yako uko sahihi Lakini sio unachoamini Wewe au kilichowahi kukutokea Wewe Na kwako mwingine kina apply, lahasahaaa and never .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke mwema hatafutwi kwenye mitandao ya kijamii.Piga goti omba Mungu sana utampata.Ila kama unataka kichomi endelea kutafuta uku.
[emoji116]

-Ndumilakuwili-
 
Mke mwema hatafutwi kwenye mitandao ya kijamii.Piga goti omba Mungu sana utampata.Ila kama unataka kichomi endelea kutafuta uku.
Kichomi hupatikana popote,wapo walikutana kwenye mikesha makanisani lakini ndoa zao hazikudumu hata kwa miaka 2.
Mke mwema hutoka kwa Mungu haijalishi mmekutana wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…