Natafuta mchumba, warembo wangu wa JF nawaomba mpitie hapa

Natafuta mchumba, warembo wangu wa JF nawaomba mpitie hapa

Status
Not open for further replies.

Dr Dre

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
2,664
Reaction score
2,810
Hellow warembo wangu wote wa Jf wakubwa kwa wadogo habari zenu..,natumai mu wazima wa afya,ni hivii..

MCHUMBA NA HATIMAYE MKE ANAHITAJIKA..

(01). mimi ni kijana 24yrs ,living in dar es salaam
(02). student katika university moja hapa dar (about to finish)
(03). ukiachana na shule binafsi nina miradi yangu ninayoendesha (yaah nina kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kunipa akili ya kuzichungulia fursa kwakweli)
(04). mimi ni mtu nipendae mawazo chanya (sijisifu ila ndio nilivyo)
(05). Nina mapenzi ya dhati kwa nimpendaye & AM VERY ROMANTIC
(06). kwa dini mimi ni mkristo ila dini kwangu sio kigezo katika mapenzi.
(07). atakayependezwa na mimi atanifahamu zaidi

MCHUMBA NIMTAKAYE
(01). 25yrs kushuka chini
(02). Dini sio kigezo
(03). Elimu ya maisha tu inatosha sio lazima msomi wa chuo kikuu.
(04) najua warembo wangu wote wa jf ni very romantic kwahiyo hili sio swala.
karibuni PM

NB:kama sio wewe mlengwa basi waeza hata kunitagia mtu uneyedhani ana sifa nazohitaji

Ahsanteni wapendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom