Mkwe wangu yupi sasa maana we nawe hata sikusomi siku hizi[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hapana, mkweo ndo ananifanya niondoke, so naondoka officially bila hivyo ningekaa tu hadi anigawe
Andaa tu parking[emoji78] [emoji78]Mkwe wangu yupi sasa maana we nawe hata sikusomi siku hizi[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hapana siandai hadi nimuone huyo mkwe, na kama ni yulee basi nampa tu muondoke hata mahari sitaki, labda apokee baba yako.Andaa tu parking[emoji78] [emoji78]
Makubwaaaa. Kisa cha kukataa mahari?Hapana siandai hadi nimuone huyo mkwe, na kama ni yulee basi nampa tu muondoke hata mahari sitaki, labda apokee baba yako.
Khaaah!! Sababu si unaijua kabisa jamani!!Makubwaaaa. Kisa cha kukataa mahari?
SiijuiKhaaah!! Sababu si unaijua kabisa jamani!!
Haya.Siijui
mkuu umeshapata aseeNatafuta mchumba baadae awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee
Mwenye sifa hizi zote ani PM nimpe wasifu wangu.