Natafuta mchumba

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28
 
kigezo cha elimu na umri ninacho nami natafuta mume,vigezo vyangu ni hivi:

Awe mrefu
Awe tayari kuwa baba wa nyumbani as niko busy sana
Awe na umri wa miaka 18-60
Awe mcha Mungu na Mkristo
Awe na elimu isiyozidi kidato cha nne
Awe anajua kupika
Awe anajua kupasi nguo za kike
Awe anajua kufanya usafi
Awe tayari ku-have sex once a week
Awe tayari kuwa na watoto wasiozidi wawili
Awe na driving licence
Awe mnyenyekevu kwangu na wote wanaonihusu
Awe mkweli na anayeweza kuomba msamaha akikosa

NB: Tuwekee vigezo vyako,hamna mwanamke anatafuta mwanaume mradi mwanaume,tell us about you.......
 

wait for the heaven to drop him for you,,, hivyo vigezo red ni utata...
 
 
Du vyote sawa inawezekana ila hiyo ya sex once a week,labda na wewe ukubali kuolewa wawili ili hizo resting zako 6 namalizia kwa mwingine.
 

Nahisi kama naweza hivi..ila hapo kwenye once a week ni tatizo! Labda siku hiyo nipige goli 14...! saba mchana na saba usiku
 

najuuuuuuuuuuuuta kusoma hii thread
 


Ohhhh! Vigezo bomba sana. U'r a woman of substance.
 
Safi sana, siku hizi kutafuta mchumba kama kutafuta kazi vile!!!
 
Ohhhh! Vigezo bomba sana. U'r a woman of substance.

Ha ha ha ha ha h a...........good to know,that a woman if substance is made by her choice of a husband.....lol

My point was aweke nae vigezo so kuandika na kuondoka and we know nothing about him except the two qualities of her dream gal.....
 
Nahisi kama naweza hivi..ila hapo kwenye once a week ni tatizo! Labda siku hiyo nipige goli 14...! saba mchana na saba usiku

Nitalifikiria hilo,issue niko busy sana,so i can only do it once.....lol
 
wait for the heaven to drop him for you,,, hivyo vigezo red ni utata...

Everything is possible under the sun,am not waiting,am living my life if it happens i meet him,cool,if not i will still be happy and enjoying life to the maximum.........:coffee:
 
Tembelea sana nyumba za ibada hasa walokole am sure ndani ya siku mbili tu utapata mzigo.
 
najua kuwa wako watakaotukana na hawakosekani pia watakaokashifu hatua hii lakini ndivyo ilivyo,awe she mwenye vidato au college umri 23 - 28
anzisha thread nyengine, naona umeshawekewa zengwe hapa, hamna hata anayekuona
 
we unatafuta house boy mamaa! heheeh toa CV yako tufanye comparison tuhakiki unachotaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…