Natafuta mchumba

Mungu akuongeze na upate haja ya moyo wako.
Kila lakheri Mkuu....[emoji5]
 
Ndugu zangu kijana nmefikisha umri wa kuoa hivyo natafuta binti aliyetayari kuolewa awe na umri wa "kuanzia miaka 27 kushuka chini" uspopata mchumba utaanza kusema huna bahati. Watu wengne hupendwa hata kwa uandishi tu. Wacha nkusahihishe. "Kuishia miaka 27 na kushuka chini"
 
wa wambie una hela adi mbwa harukii ndo uone watakavyo tiririka pm kama maji vileee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…