Natafuta mchumba.

Sjaelewa shida ipo wapi kwa hili tangazo. Unamsaidia kutangaza au
 
ha ha ha! mkuu si unaona hilo gheto ni kwangu kukavu tia mchuzi hlf anataka mchumba mwenye kazi na miaka hiyo atampata wapi kwa hali hiyo nawakati sikuhizi wanaangali pesa pesa pesaa
 
Kuna wa saiz yake mkuu
Na watu wa hivyo tz wapo wengi na wanaishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…