Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe mkristo pia aliye na shughuli yoyote hata mfanya biashara halali umri kuanzia miaka 23 kuendelea mpaka 28 naomba km hii post haikuhusu ikaushie tu wenye nia tuwasiliane pm