Natafuta mchumba

ndibuka

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
204
Reaction score
300
Mie ni kijana mwenye miaka 29, elimu yangu ni ngazi ya chuo kikuu nafanya kazi katika shirika natafuta mke mwenye sifa zifuatazo.

1. Awe mrefu mweusi mwembamba kiasi
2. Awe mkristu wa kweli
3. Kipato na elimu sio issue sana. Kwa alie tayari anifuate pm
 
Aargh sikuona tangazo kipindi hicho nilikua na hiyo sifa ya "Mrefu mweusi Mwembamba" sahivi nimekua kibonge kama kitufe πŸ˜›, mkuu ulishapata? Legeza masharti kidogoo
 
Ngazi ya chuo kikuu harafu unatafuta mchumba kwenye mtandao

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aargh sikuona tangazo kipindi hicho nilikua na hiyo sifa ya "Mrefu mweusi Mwembamba" sahivi nimekua kibonge kama kitufe πŸ˜›, mkuu ulishapata? Legeza masharti kidogoo

Kuna kila dalili ya kuja kuolewa na sisi wazee siku za usoni. Mara zote umekuwa ukipishana na gari la mshahara kwa vijana wenzako 😎
 
Kuna kila dalili ya kuja kuolewa na sisi wazee siku za usoni. Mara zote umekuwa ukipishana na gari la mshahara kwa vijana wenzako 😎
πŸ˜€πŸ˜€ kweli nna bahati mbaya na vijana wenzangu + Masharti magumu wanayoweka aargh, mkuu nitoe hili gundu na wanasema uzee mwisho Chalinze hivo wewe ni baby kabisaπŸ˜€
 
Ngazi ya chuo kikuu!
Inaweza kuwa ndefu kuliko ile tanesco kitengo cha emegency?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…