hahaha,duh nilitaka kukuliza nilipoona avatar hapa pole sana aisee,lakini mbona wamechangia sana thread?kazi unayo.mie nimenoa
All the best..
JF sasa imegeuka mbao za matangazo za kutafutia wenza.
Vijana siku hizi hawajui tena kutongoza!
Dunia tunapita!
Kwa umri wako
ukirudi kutazama mabinti wote uliowapitia ambao bado hawajaolewa
hukosi mchumba......
Na kama wote hawafai..basi we una tatizo.....
Any way good luck....
Mimi ni Mwanaume,naishi Dar ,ni Mtanzania halisi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 19-24.Umri wangu ni miaka 34.Sibagui dini wala kabila,mimi ni Muislamu,ninafanya kazi kama mhandisi.kwa ambae yupo serious naomba ani PM.Nitapenda ambae yupo tayari basi tupime afya zetu kwanza.Nitashukuru kama ombi langu litafanikiwa.
Kwa umri wako
ukirudi kutazama mabinti wote uliowapitia ambao bado hawajaolewa
hukosi mchumba......
Na kama wote hawafai..basi we una tatizo.....
Any way good luck....
Haibreus, ngoja nikurahisishie kazi pitia uzi za wadada waliokuwa wanatafuta wachumba/waume sikumbuki idadi kamili ila walikuwa wengi natumani utapata something from there, Good luck!!!!