Kwa mtazamo wangu mtu anae tafuta MKE/MUME kwenye mitandao kwa haraka tu hua namchukulia kama kicheche tena wakuogopwa sana.
Binafsi hainiingii akilini unakuta mtu ana 24 or 45 years eti nae anatafuta mke mtandaoni anaakili timamu huyu?
Hadi anafikia age hiyo alikua anaishi angani? In this case i think there 2 things involve..........
(1) .Yawezekana hawayajui mahitaji yao ya kimwili ,kijamii na kiroho
(2)..Kutamani kupata yale mapenzi kama yale ya kwenye VIDEO na kudhani waliopo humu jukwaani ndio wenyewe .
Au ni MAFATAKI ya laana hata yakapoteza sifa kwenye jamii husika.