JIGOKU IKAYA
Member
- Apr 29, 2017
- 38
- 46
Hio avatar yake wachumba wanamuogopaππMkuu umefikia wapi??
Kazi ipo aiseehHio avatar yake wachumba wanamuogopaππ
Heeee heeee hatariiMkuu umefikia wapi??
Naona unyayo kila uzi.Heeee heeee hatarii
Umenionaje??Naona unyayo kila uzi.
We hatari.
Hebu pumzika kwanza mkuu.Umenionaje??
Ayaaaa....ulevi ushanikosesha mwenza!Mimi ni mwanaume, nina miaka 28 nina kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa Kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi.
Karibuni.