Natafuta mchumba.

JIGOKU IKAYA

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
38
Reaction score
46
Mimi ni mwanaume, nna miaka 28 nna kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi. Karibuni.
 
Watakuja mkuu ila umenifurahisha kwamba hata akikuzidi sawa tu hapo kweli umeonyesha una nia GOOD LUCK. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…