Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

pjo

Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
26
Reaction score
20
Natafuta mchumba wa kike aliye sereous,
Umri 26yrs
Elimu: kidato cha sita na kuendelea
asiwe tegemezi
dini: awe mkrsto
 
Mmmmmmmmhhh!!!! At kidato cha cta na asiwe tegemezi, na walimaliza elimu hiyo na bado hawapata job am unatoa jb Broo????!!
 
Ndio maana waweza tembea toka posta mpaka kinyerezi husemeshwi na MTU

Kumbe siku hizi mnatafutia huku,

Hatari sana hii
 
Hahaha mkuu unamwaga mtama kwenye kuku wengi.....

Hebu rekebisha hiyo namba.....
Tuchangamke
Ya mwisho haikuachwa kwa bahati mbaya
Ndo kipimo cha mtafutaji hicho [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Weka vigezo vyako waje

Wachumba hawatak kuuziwa mbuz kwenye kiroba
 
Daby hatuna masalia katika makombo yetu tumkabidhi huyu mzembe wa kutongoza?
 
hum mbona wapo mkuu chukulia hum ila hakikisha unaoa before shaking.
 
Back
Top Bottom