Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Tswana14

Senior Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
167
Reaction score
73
Mimi ni mwanaume wa miaka 31nimeajiliwa serikalini nipo Dar natafuta mchumba wa kike kwa ajili ya kuoa hapo baadae awe na umri 24 -26 elimu kidato cha nne kuendelea, aliye interested tuwasiliane pm.
 
Pic
mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa serikalini natafuta mchumba wa kike kwa ajili ya kuoa hapo baadae awe na umri 24 -26 elimu kidato cha nne kuendelea aliye interested tuwasiliane pm

Picha ya kusaminisha
 
Nimepishana na kundi kubwa la wadada wanakuja ,kuwa mvumilivu tuu chief .

To accomplish much you must first lose everything..
 
Back
Top Bottom