netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6, sina kazi naish tu home Dar es Salaam na wazazi wangu natafuta mchumba aje kuwa mume.
Sifa;
Aweze kunipenda
Awe mcha Mungu
Alietayari kuoa sio kuchezea
Asanteni nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa;
Aweze kunipenda
Awe mcha Mungu
Alietayari kuoa sio kuchezea
Asanteni nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app