netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Ahaha labda ntabaatikMdogo wangu Wachumba wa siku hizi hawataki wakaa nyumbani wasio na shughuri ya kufanya.
Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6 ..Sina kazi naish tu home dar es salaam nawazaz wangu natafut mchumba aje kuwa mume
Sifa
Aweze kunipenda
awe mcha mungu
Aletayar kuoa sio kuchezea
Asanten nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa mkuu wewe noma umemuumbua mdada wa watumbona ww muongo muongo,mara kidato cha sita,hapoo mwalimu wa arts,,veep
Dini yakoMimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6 ..Sina kazi naish tu home dar es salaam nawazaz wangu natafut mchumba aje kuwa mume
Sifa
Aweze kunipenda
awe mcha mungu
Aletayar kuoa sio kuchezea
Asanten nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6 ..Sina kazi naish tu home dar es salaam nawazaz wangu natafut mchumba aje kuwa mume
Sifa
Aweze kunipenda
awe mcha mungu
Aletayar kuoa sio kuchezea
Asanten nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yako ...Tena sana kwakutiririk ya moyon kama ww sio muoaj waache wenzio...Kaa na perception yko ivo ivo ....Pole sana kama ww uwez wenzio wanaweza san nawanatafut as longer mmekubalian wenyew pesa na mali vbarua utafutwa upo..Pia nawez nisifany kaz lakn nikawa kiongz mzur tu nikakongoz kweny mambo yako ya mafanikio na ukafanikiwaKumbe Wewe ni Juma Kaseja ( Golikipa / Mama wa Nyumbani ) Dada? Sijui kama siku hizi kuna Mwanaume mwendawazimu kwa jinsi hivi Vyuma vilivyokaza / ugumu wa maisha atakubali tena ajibebeshe Gunia la Misumari kumchumbia Binti au Mwanamke asiye na hata tu Kibarua achilia mbali Kazi / Ajira ya Kueleweka. Sijui ni nani Kakudanganya uje humu utiririke na userereke hivi ki hovyo hovyo.
Usibuni mkuu pengine alidisco so hawezi sema anaelimu au mhitimu wa chuo... Pambana na hali yako usimuharibie mwenzio au wewe ndio unataka Bwana?mbona ww muongo muongo,mara kidato cha sita,hapoo mwalimu wa arts,,veep
Karib Mimi nahitaji nmemaliza tu chuo mwaka huu stashahada ya mifugoMimi ni binti wa miaka 24 elimu yang kidato cha 6 ..Sina kazi naish tu home dar es salaam nawazaz wangu natafut mchumba aje kuwa mume
Sifa
Aweze kunipenda
awe mcha mungu
Aletayar kuoa sio kuchezea
Asanten nawakaribisha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukisoma degree ya ualim wa art awam hii ni sawa na kuishia form six tu kwa sababu haina tija yeyote, nahisi ndo maana kaamua kusema hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mbona ww muongo muongo,mara kidato cha sita,hapoo mwalimu wa arts,,veep
Labda ame-disco hawezi kuita elimu yake ni bachelor degree na atakuwa sahihi kusema yeye ni form 6 leaver na yupo home hana kazi.Wakati mwingine mtu unaweza ukajiuliza huu uongo ni kwa faida ya nani?
View attachment 575539