natafuta mchumba

natafuta mchumba

Kalunguine

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2010
Posts
2,543
Reaction score
134
waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com
 
We ni kijana wa kike au wa kiume? Au unatafuta mchumba wa jinsia yako?
 
waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com

aaaahhh.....mi naishi Yaeda......kwani ni mbali na Mwanza?
 
waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com

Akipata sababu za kumuhamisha mwanza kama kazi au shule uchumba utakufa?
All the best mkaka
 
Maskiniiii we nimekosa, mimi natafuta mchumba ila nipo Mang'ola,

Haya bwana mafanikio mema.
 
Back
Top Bottom