Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

kimburu06

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
257
Reaction score
267
Habari wanajamvi,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 28 nimeajiriwa kwenye sekta ya fedha, ni mrefu (6 feet), maji ya kunde.

Sina ubaguzi wa dini ila mchumba asizidi miaka 37.

Ahsante
 
Mi mwezenu mtanisamehe mtu anayetangaza kutafuta uchumba humu huwa naona hayupo serious
 
Fedha tenaaa....yaani wewe ushapata, ila choose carefully...At least kwa mara yako ya kwanza inbox yako itafurika.....
 
Tofauti ya miaka 9 ni kubwa utakuwa unabakwa badilisha vigezo
 
U seriousness ni ww mwenywe mkuu ,uzidhani hao unaokutana nao kanisani ,msikitini,sokono,mitaani au chuoni wanatofauti na hao unaokutana nao mitandaoni,ni wale wake mkuu. Maana nina ukakika siku utakapoamua kuwa serious utachukua tu bila kuwachunguza. Mbona vitu vinavyoagizwa onlie ni vile vile wanavyofuata china au mahala pengine,Tofauti ni mawasiliano tu
 
Ndo mana natafuta humu and am serious, atafutaye hachoki
 
Back
Top Bottom