Natafuta mchumba

winny25

Member
Joined
Sep 25, 2017
Posts
9
Reaction score
5
Nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba awe anajielewa, ana hofu ya Mungu, elimu kuanza kidato cha sita na kuendelea, awe mrefu kiasi, kwa dini awe mkristo.

Kwa maelazo zaidi tuwasiliane kwa no. 0766517993. Niko serious!
 
Ndio hao hao maduu/ moment wahapa ndani wanadhani kujiunga upya nakutafuta mchumba itawajengea cv nzuri kuwa wao sio malaya ili tuone kuwa wao ni wapya hawajaizoe jamii forum tuwakimbilie hahahhaah
 
Kama umeweza kuweka namba wawekee na picha kabisa wasaminisho mzigo Kama unalipa!
 
Aisee wewe lazima raia wa eat & run maana unaonekana unamizuka kwelikweli
 
nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba awe anajielewa , ana hofu ya mungu, elimu kuanza kidato cha sita na kuendelea, awe mrefu kiasi, kwa dini awe mkristo. kwa maelazo zaidi tuwasiliane kwa no. 0766517993. niko serious!!!
yanii ndio umejiunga leo alafu unatfuta na mpnz kabsa
 

Attachments

  • Screenshot_20170925-123637.png
    26.1 KB · Views: 54
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…