Natafuta Mchumba

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Posts
712
Reaction score
332
Mi ni kijana nadhifu

Natafuta msichana awe maji ya kunde, miaka 24-27,mkristo, msomi angalau Diploma,mcha Mungu, mwenye kujituma,mwaninifu mtii,mpole wastani

Asiwe mlevi,mvuta sigara,
Mi ni mnywaji wa kiasi,sivuti sigara, msomi na ni mpenda maendeleo.
 
Unapotafuta mchumba halafu unasema sijui awe amesoma,sijui aweje huwa nashindwa kukuelewa hasa unahusishaje elimu,dini na muonekano wa mtu na ubora wa mtu kwenye ndoa
 
Unapotafuta mchumba halafu unasema sijui awe amesoma,sijui aweje huwa nashindwa kukuelewa hasa unahusishaje elimu,dini na muonekano wa mtu na ubora wa mtu kwenye ndoa

Hizi sifa ni muhimu sana kwa maisha ya kisasa na ndio maana wazazi siku hizi wanawasomesha watoto wao wa kike vizuri ili angalau waweze kuendana na mazingira ya kisasa. Huko nyuma sifa hizi hazikuwa muhimu sana ingawa tunashuhudia wale waliokuwa nazo hivi leo wanakula kuku kwa mrija.
Kwa mfano katika maisha ya mbeleni wanandoa wote wawili ni muhimu wawe na ajira ili waweze kumudu maisha na sio huko nyuma unakuta mwanandoa mmoja hasa mke anakuwa golikipa wa kuletewa tu nyumbani baada ya baba kutafuta na hii ilipelekea mfumo dume kushamiri.
 
Distazo sikia,kama unatafuta mke mwema achana na mambo ya kisasa huo ni upofu,hivi ukipata mwanamke anaekujali anakuheshimu na ni mwaminifu lakini hajui kusoma,hana kazi utamuacha?
 
Hivyo sio vigezo hata kidogo au unamsikiliza dokta ndodi nini! Love doesnt ask why!!! Anae kupenda na kukuheshimu akakuthamini huyo ndiye mke hata awe pre-chekechea na waweza pata wa sifa unazozitaja ikawa balaa nusura ya mkosi .
 
Ila hyo ndo choice yke jaman,
ambae atawezana nae, atamvumlia na kumpenda kwa moyo wke wte.
 
mambo ushampata?kama bado nitafute kupitia 0784643015andika msg,gtym
 
wanaotafuta wachumba ni wengi humu JF lakini wakishapata hawarejei kusema wamepata .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…