Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

SAWEBOY

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2011
Posts
241
Reaction score
174
Wapendwa wana JF,

Poleni kwa majukumu ya kila siku.

Mimi ni kijana wa miaka 32, natafuta mchumba ili tuweze kufunga ndoa endapo tutakubaliana mimi na yeye. Nipo very serious na hili jambo.

SIFA ZANGU:
1. Nina urefu wa 168cm, rangi maji ya kunde, sio mnene wala sio mwembaba.
2. Elimu yangu ni yangu ya chuo kikuu.
3. Sivuti sigara, kilevi natumia mara chache sana labda bia 1 au 2 may be later naweza acha.
4. Mkristo wa Roman catholic
5. Nipo tayari kupima HIV hata zaidi ya mara 5.

SIFA ZA MWANAMKE/MCHUMBA NINAYEMTAKA

1. Awe serious na jambo hili, asiwe anayebahatisha au kutaka kujaribu mahusiano
2. Umri wake uanzie na miaka 18 hadi 30.
3. Awe kabila lolote lile au dini yeyote ile lakini mie sipo tayari kubadili dini
4.Elimu aanzie darasa la saba hadi PhD kwangu halina tatizo
5. Awe mtu anayejiheshimu na kuheshimu watu wengine
6. Awe msafi na ajipende/ usafi wa mwili na mengineyo kwa ujumla.

NB: Kwa mtu atakayekuwa na nia thabiti/ serious naomba ani-PM, au atumie e-mail hii hapa: saweboy1980@yahoo.com

Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu nyie wote mnaosoma sred hii.

Asante.
 
Kila la heli kaka,nina iman utampata mtakayeendana mtangulize mungu kwa hili
 
nakushauri uende kanisan mweleze padri atakutafutia.
 
Nakushukuru kwa kunipa imani mpendwa, namuomba mungu aniongoze vema ktk jambo hili.

nakuombea. Hakika mwenyezi mungu anapenda kila kitu kiwe na mwenzie ndio maana katupa macho mawili, masikio mawili, miguu miwili, mawowowo mawili, pua nayo ipo moja ila ina matundu mawili.
Mungu yu mwema sana.
 
Kila la kheri ndugu yangu.
Mungu akutangulie.
Umeandika kwa upendo naiman Mungu atakupatia mke mwema.
 
Be blessed! I wish you lucky and May GOD give you the one of your match
 
Yule uliyekuwa naye kipindi cha kuomba ushauri wa madoido chumbani yeye hafai? Mungu atakujalia utampata tu hapahapa jamvini..
 
Yule uliyekuwa naye kipindi cha kuomba ushauri wa madoido chumbani yeye hafai? Mungu atakujalia utampata tu hapahapa jamvini..

Mkuu,
Nakushukuru kwa mchango wako, naomba dua zako zinisaidie kumpata mwenza wa maisha yangu. Kuhusu unayemsemea alikuwa mbali nami na bahati nzuri au mbaya ni kuwa amepewa mimba na mume wa mtu. kwa hiyo kifupi ni kuwa alikuwa ananidanganya na mungu amemuumbua kwa kuionyesha ukweli wa tabia yake. Ni hivyo dada Mayasa.
 
Aisee.. pole sana, Mungu atakupatia wa kufanana na wewe!
 
Yule uliyekuwa naye kipindi cha kuomba ushauri wa madoido chumbani yeye hafai? Mungu atakujalia utampata tu hapahapa jamvini..

unaweza kuprint hii kitu uje nayo kule kwa mama Miri
 
Back
Top Bottom