Natafuta mchumba

bigboss1

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2015
Posts
319
Reaction score
195
Mimi natafuta mchumba awe mweupe mrefu wa stani awe na elimu nzuri i mean degree nakundelea.
Umri 36 - 50 hata kama unawatoto mimi sawa tutatunza.
Awe mcheshi ila sio kuzidi.
Awe na kazi nzuri.
Awe muelewa mstaarabu akubali kubadilika.
Asiwe anapiga .
Mimi ni mkristo umri 27
Mimi ni madam /mwanadada
Kama upo serious ni pm
Wenye hasira msinipm
 
Ww ni mwanamke au mwanaume? Tulia andika vizuri basi!
 
Hivi wewe unajielewa?
Kuna mwanaume anatafuta mme
 

Tusiokuwa na Degree na Elimu hata ya ' Kubabia ' tu tuna taabu na tunadharaulika mno hakyanani. Ngoja nianze kufanya mpango nisome QT kisha nitafute Certificate au Diploma ila angalau na Mimi huko mbeleni wakihitajika wenye Elimu niweze kusogeza ' pua ' yangu na kujitutumua.
 
Aiseeee haya mashart na hivi vigezo ni vingi kweli utampata atakaye kamilisha?me nadhan unahitaji msaada wa Mungu zaid kuliko vigezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…