murid Member Joined Jul 21, 2010 Posts 44 Reaction score 3 Jun 3, 2011 #1 Sifa awe islamic mcha mungu atakaekuatayari kuishi z,bar
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,005 Reaction score 20,425 Jun 3, 2011 #2 Ni wewe uliyesafiri kwa ngalawa kutoka zbr hadi tanga au ni mwingine?
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,286 Reaction score 6,736 Jun 3, 2011 #3 Yakhe karibu, hapo juu kuna sehemu imeandikwa LOVE CONECT hiyo ndo sehemu yenu muafaka. Lakini si unao watatu tayari?
Yakhe karibu, hapo juu kuna sehemu imeandikwa LOVE CONECT hiyo ndo sehemu yenu muafaka. Lakini si unao watatu tayari?
jockey emmanuel JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 330 Reaction score 50 Jun 3, 2011 #4 he...we ni mtu wa ngap cjui kuanza na kuanza tu mnatafta wachumba?.....kila la kheri....ukimpata tujulishe
he...we ni mtu wa ngap cjui kuanza na kuanza tu mnatafta wachumba?.....kila la kheri....ukimpata tujulishe
Desidii JF-Expert Member Joined Oct 2, 2007 Posts 1,201 Reaction score 86 Jun 3, 2011 #5 Peleka Love Conect