Natafuta mchumba

nasryy

New Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
 
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
Waaleikum salam warahmatullah wabarakatuh
Sheikh usitafute mke kwa njia ya mtandao huwezi kupata mke bora

Muombe sana Allah
Fanya instikhaara kwa wingi kisha utafanikiwa in shaa Allah

Mbona wanawake wapo wengi sana hata usipitie huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…