Natafuta mchumba

hutaki acha

Member
Joined
Oct 21, 2018
Posts
6
Reaction score
2
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 ninaishi Dar, mweusi mrefu mwenye mwili kidogo natafuta mpenzi mwanamke mzuri anaye ishi Dar ambaye yuko serious anatafuta mpenzi kama mimi,mwenye kazi pia mwenye umri kuanzia 30 kushuka chini ambaye yuko serious na una vigezo vyo hapo juu njoo PM
 
Acheni kumpangia maamuzi yake hapa mbona wanawake wanao tafuta wachumba huja na vigezo kibao anaetaka mwanamke tegemezi kwa sasa Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…