Mimi ni kijana 28 yrs. Naishi dsm. Nimeajiriwa pia ninamishe zangu nyingine.
Ni mkristo.
Natafuta rafiki wa kike kisha aje kuwa mchumba hadi mke. Umri 21-27 ikiwa dsm au karibu na dsm itapendeza.
Mwenye hofu ya Mungu. Mchapa kazi. Mama mtarajiwa mlezi wa familia.
For more info came pm.
N.b my old id is no longer active.
Nawakaribisha kwa moyo mkunjufu kabisa
Sent using
Jamii Forums mobile app