Natafuta mchumba

Nakumbuka kuna mwanaume alikuwa anatafuta mchumba nikamfata pm kumbe alikuwa anatania

Naogopa kama nini kumfata mwanaume pm maana amuaminiki ata wala wengi ampo serious

sent using bombadia
 
Nakumbuka kuna mwanaume alikuwa anatafuta mchumba nikamfata pm kumbe alikuwa anatania

Naogopa kama nini kumfata mwanaume pm maana amuaminiki ata wala wengi ampo serious

sent using bombadia
Wengine wanatest tu kuchora ila baadh wako serious kweli.. vipi nkalibie pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii haina tofauti saana na kuvaa mabomu kujilipua, lolote liwe

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]komenti hii imeongoza kunivunja mbavu, mkuu sijui ulimanisha nini!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…