Mimi natafuta mchumba wa kike, aliye na vigezo vifuatavyo ani-PM;- Umri kuanzia miaka 35 kuendelea na Awe hajabikiriwa.
Wasifu wangu:-
Jina:- Jsaudi
Kabila: Mgagagigikoko
Umri: Miaka 58
Picha: Picha yangu ya karibuni iko kwenye avatar yangu
Urefu: Futi 7
Urefu wa jembe: Inchi 9 na nusu - Nikipata mchumba likaanza kutumika litapungua
Matumizi ya Jembe: Halijawahi kutumika hata mara moja
Sababu ya kuchelewa kuoa: Nilikuwa natafuta mahari na sasa nimeipataLast edited by Jsaudi; Today at 07:44 PM.
ameona ametuogopesha na kajembe kake hako ka kupalilia....acha longolongo wewe.....tembo kadi masta kadi ndio mpango mzima....na uwe tayari kununua malace wigs...sio ushangaeshangae hapa....kama unafika bei....twende kazi...wafikiri hiki kizazi kilicholaaniwa kinajali ukubwa wa jembe............wanachojali ni ukubwa wa pochi yako tu..................uwe na jembe usiwe nalo shauri yako......wanachotaka kujua unawea kumudu bili zao?<br />
<br />
kama huwezi ishia.................................na umesema umekuwa ukihangaika kutafuta mahari..........................hiyo ni sifa mbaya ikimaanisha ya kuwa pochi lako dogo..........................umri wa kuanzia 58.............................nina wasiwasi na mengi juu yako.....................could be dealing with a serial rapist in our midst
Hahahaha... Mi ntakuwa mshenga!.. Pia usinisahau kwenye kamati..ameona ametuogopesha na kajembe kake hako ka kupalilia....acha longolongo wewe.....tembo kadi masta kadi ndio mpango mzima....na uwe tayari kununua malace wigs...sio ushangaeshangae hapa....kama unafika bei....twende kazi...
miaka 58 jembe bado jipya?