Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Mbagala Tz

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
57
Reaction score
42
Wakuu salaam??

Leo nakuja tena na uzi wangu huu

Natafuta mchumba aliye serious na uchumba

Mimi ni mwanaume

Miaka 27

Mrefu wastani ,Mweusi wastani

Najishughulisha na biashara za hapa na pale

Nataka msichana aliye serious

Umri 21-26

Awe Mcha Mungu

Aje PM tuyajenge km yupo
 
Biashara za hapa na pale eee....haya swa mkuu hongera.

Kwanini usiende kwenye zile nyuzi ambazo na wao wanatafuta wachumba mkaanza kunijichanganya hukoo???

Anzia hapo kwanza.
Kwenye mahusiano mkikutana nyote ni wahitaji inapendeza zaidi
 
Sifa nyingine unazotaka ni zipi??
Umri tu!!!
Na sis wa la Saba tunaruhusiwa?
Hujasema uko wapi
Hujasema unataka mtu wa dini ipi.
BTW kuna mabandiko kibao humu watu wanatafuta waume, jaribu kuangalia na huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata uni tafte nkupe laki 2.
naijatwittersavages-20200718-0001.jpg
 
Wakuu salaam??

Leo nakuja tena na uzi wangu huu

Natafuta mchumba aliye serious na uchumba

Mimi ni mwanaume

Miaka 27

Mrefu wastani ,Mweusi wastani

Najishughulisha na biashara za hapa na pale

Nataka msichana aliye serious

Umri 21-26

Awe Mcha Mungu

Aje PM tuyajenge km yupo
Pambana bro utampata tuu
 
Back
Top Bottom