Natafuta mchumba.....!

Huwa napita huku kufurahi...kama jukwaa la jokes vile.
 
ntakupataje mkuu au ushapata,utakua tayari kupima hiv and unampango wa kuoa mwaka gani,age yangu ni25 tutakua sawa,formore info nipatie e mail yako ama fb id.
 
ntakupataje mkuu au ushapata,utakua tayari kupima hiv and unampango wa kuoa mwaka gani,age yangu ni25 tutakua sawa,formore info nipatie e mail yako ama fb id.

nimeku PM!
 
nimetatizwa na kitu kimoja tu,unasema awe single sasa maana yake nini?kweli siku hizi kuna mtu utamuaproach ukute yuko single,be serious,watoto wenyewe wanayaanza mambo wakiwa msingi,sijui.
 
Mmechanganyikiwa wote. Mapenzi hawatafutwi kwa njia ya keyboard. Jitume mtu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…