Mtu si mbwa
Member
- Jan 24, 2021
- 16
- 42
Natafuta mchumba, sifa awe Na miaka 23-30. Awe mwe usi au maji ya kunde, dini yoyote, awe mrefu wa wastan, awe Na wembamba usio Na mashaka, awe Na chura wa kawaida tu. Tabia iwe njema Na mwenyeheshima pia awe Na ajira yoyote Na awepo Arusha. Mm ni mwembamba wa wastan, sio mrefu wala sio mfupi, nimeajiriwa, umri wangu 35. Mwenye sifa tajwa anicheki e_joelkiss@yahoo.com