Natafuta mchumba

dennoo_appliances

Senior Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
136
Reaction score
192
Mim Nina sifa zifuatazo
Jinsi Mwanamme
Umri miaka 29
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree
Kazi Nimeajiriwa
Makazi Dar es salaam

Mhusika awe na sifa zifuatazo
Jinsia Mwanamke
Miaka chini ya 25
Dini mkristo
Elimu Bachelor degree yeyote
Makazi Dar es salaam

Ambaye atakua interest anifuate pm
 
Kuomba kazi kuna vigezo na huku kwenye mapenzi napo kuna vigezo 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ ww chagua anayepumua tuu
 
CHAPUTA hawajakubaliana na maombi yako ya kujivua uanachama

Kwa maelezo zaidi muone mwenyekiti hapo juu👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆
 
Nasikia Daslam kuna wanawake lukuki, hivi kweli wote wanaokuzunguka hapo huwaoni?

Lazima kuna shida mahali.
 
Mbona sijasikia jinsia KE at age 25 ikitafuta mchumba
 
Joanah uoelewe sasa chumba tunataja tupangishe uchumi wa Magu huu.
Nimefit hapo kwenye jinsia,ukristu na bachelor degree yoyote

Tatizo limeanzia hapo kwenye 25.....unajua naiacha mwaka huu hiyo 25 halafu yeye kasema anataka chini ya 25
 
Nimefit hapo kwenye jinsia,ukristu na bachelor degree yoyote

Tatizo limeanzia hapo kwenye 25.....unajua naiacha mwaka huu hiyo 25 halafu yeye kasema anataka chini ya 25
Kabadili cheti cha kuzaliwa kisome una miaka 22.

Maisha ni mapambano.
 
Nimefit hapo kwenye jinsia,ukristu na bachelor degree yoyote

Tatizo limeanzia hapo kwenye 25.....unajua naiacha mwaka huu hiyo 25 halafu yeye kasema anataka chini ya 25
Tutamdanganya ili mradi utupunguzie wingi hapa home.
Embu acha kutia ugumu kaka nataka nikastake mahali. Uefa mwezi huu ujue.
 
Unatafuta mchumba ama mke. Halafu huyo mchumba awe na Digrii.
 
Nimefit hapo kwenye jinsia,ukristu na bachelor degree yoyote

Tatizo limeanzia hapo kwenye 25.....unajua naiacha mwaka huu hiyo 25 halafu yeye kasema anataka chini ya 25
Ungemwambia umekidhi vigezo..vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…