Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Awe nurse au Mwalimu.

Mimi ni kijana mwanaume, nataka nipate mwenza wa maisha, awe na sifa hizo hapo juu, mimi ni mfanyabiashara, na kipatoa changu kinaridhisha.

Mnakaribishwa DM.

Zingatia kichwa cha habari.

Dini Mkristo.

Umri wowote.
 
Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako.

Then maisha yanaendelea.
 
Naona umelenga sehemu nzuri sana. Ukifanikiwa tu kumuoa, unamshawishi akakope benki faster ili uongezee mtaji kwenye biashara yako.

Then maisha yanaendelea.
Hata hayo sio mawazo mabaya, lakini mimi sijawazia hilo kabisa
 
Biashara 😂😂😂 wewe uko wapi kibiashara boss, hawa maboss lady wanataka secured income.
 
Back
Top Bottom