Natafuta mchumba

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Waungwana natafuta mchumba umri kuanzia miaka 25-29, Elimu kuanzia darasa la saba hata form 4, awe mjasiriamali ama mfanyabiashara ndogondogo ni sawa, kuhusu kabila ni lazima awe mnyiramba, mimi Kazi yangu ni mfanyabiashara wa kati, natanguliza Shukrani!

N:B, mawasiliano yote ni PM,Mimi ni dume
 
Nasikitika umri, kazi na kabila vimenikosesha mchumba jaman…hivi hakuna mtu atakaelenga vigezo moja kwa moja 😎
 
Wewe ni me au Ke??
 
Hauna jinsia mkuu
 
Sogea maeneo Singida, wapo wengi.

utapata wa kufanana na sifa hizo.
 
Kuna dada ni wife material mzuri ana vigezo vyote apo ila ni ex wangu nikusukumie uoe chap[emoji3]
 
Kuna dada ni wife material mzuri ana vigezo vyote apo ila ni ex wangu nikusukumie uoe chap[emoji3]

Niunganishe ndugu yangu kizuri kula na mwezio,nitumie namba Pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…